Jumatano 19 Machi 2025 - 06:31
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na nane

Ee Mwenyezi Mungu! Nizindushe katika mwezi huu ili nipate baraka za masiku yake, Uninawirishe moyo wangu kwa mwangaza wa nuru zake (Nuru za mwezi huu wa Ramadhani) Uvishike viungo vyangu vyote viwe ni vyenye kufuata nyayo zake, kwa Nuru yako ewe Mwangaza wa nyoyo za wakujuao.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na nane:

اللّهُمَّ نَبِّهْنِی فِیهِ لِبَرَکاتِ أَسْحارِهِ، وَنَوِّرْ فِیهِ قَلْبِی بِضِیاءِ أَنْوارِهِ، وَخُذْ بِکلِّ أَعْضائِی إِلَی اتِّباعِ آثارِهِ، بِنُورِک یا مُنَوِّرَ قُلُوبِ الْعارِفِینَ.

Ee Mwenyezi Mungu! Nizindushe katika mwezi huu ili nipate baraka za masiku yake, Uninawirishe moyo wangu kwa mwangaza wa nuru zake (Nuru za mwezi huu wa Ramadhani) Uvishike viungo vyangu vyote viwe ni vyenye kufuata nyayo zake, kwa Nuru yako ewe Mwangaza wa nyoyo za wakujuao.

Sikia

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha